kukusanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijakazi

    TRA ya USA waruhusiwa kuua ikibidi kukusanya kodi ya Serikali

    Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
  2. J

    Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
  3. Rashda Zunde

    Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera

    Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza. Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera. Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na...
  4. J

    Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

    Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato. Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%. Mapato kwa miradi ya...
  5. figganigga

    Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  6. K

    Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
  7. L

    AfDB yapanga kukusanya dola bilioni 25 za kimarekani kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya dola bilioni 25 za kimarekani kabla ya mwaka wa 2025 kwa ajili ya kuunga mkono nchi za Afrika kwenye...
  8. Idugunde

    CHADEMA hongereni kwa kukusanya mil 250 kwenye matembezi ya join ze chain

    Kama kwa siku moja tu huko kunduchi mmekusanya mil 250 basi nawapa pongezi kubwa sana. Mkikomaa namna hii mtapata zaidi ya bil 8 kwa mwezi. Siasa sio uadui hongereni sana.
  9. MIXOLOGIST

    Taifa letu lilianza kwa kukusanya laana badala ya baraka

    Wasalaam wana JF Katika tafakari zangu nimekua nijiuliza mambo mengi yanayohusu mustakabali wa taifa letu. Maranyingi ustawi wa taifa letu una kwenda mbele na kurudi nyuma kila baada ya awamu moja kwenda nyingine. Atakuja kiongozi mzuri atajenga uchumi anayefuata anabomoa. Hali kadhalika...
  10. John Haramba

    RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  11. N

    Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  12. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  13. Erythrocyte

    CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  14. Ze Bulldozer

    Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  15. peno hasegawa

    Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  16. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  17. Analogia Malenga

    TRA yafanikiwa kukusanya Tsh. Trilioni 5.151 ktk robo ya kwanza ya mwaka

    Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imeripoti kufanikiwa 94.3% katika malengo ya kukusanya Tsh. Trilioni 5.462 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2021/22 Taarifa imesema hiyo ni sawa na ukuaji wa 17.4% ambao umechangiwa na ukuaji wa ulipaji kodi kwa hiari hasa kwa wachimba madini na mawasiliano na...
  18. K

    Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  19. rich1

    TARURA Kiteto yapanga kukusanya Tsh 300 kila siku kwa bodaboda inayopaki pembezoni mwa barabara

    Kwema ndugu zangu. Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara. 1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi) 2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka) 3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia...
  20. Crocodiletooth

    Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

    Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya. Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...
Back
Top Bottom