Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano wa kimkakati.
Kwa mujibu mtandao wa BBC, ziara hiyo inajiri baada ya Beijing, mshirika wa Russia...