Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali
Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali
Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM )
Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa
Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo fainali kaa nami upate live updates ujue nani kakutana na nani na mechi zitachezwa kuanzia lini...
Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga kumfikisha mahakamani mwimbaji huyo iwapo ataendelea kumtaja au kumhusisha kwenye mazungumzo yake...
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye.
https://www.jamiiforums.com/threads/hotuba-ya-mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-aliyoitoa-jana-aprili-11-2021.1858436/
Naomba kuwapa taarifa...
Habari wadau..!
Wanasayansi wanaamini kwamba katika dunia kwa kila sura moja ya mtu basi kuna sura sita zinazofanana na mtu huyo na hiyo kwa kijerumani ikaitwa Doppelganger (Double walker).
Double walker siku zote wanaweza wakawa hata hawana undugu lakini wanafanana kama mapacha (identical...
KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia Watanzania kupitia Bunge. Hotuba yake ilichukua dakika 98.
Sikubahatika kuitazama hotuba hiyo mbashara...
Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu.
Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema.
Sasa swali ni kwa upande wa pili...
MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA
Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu,
Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi
Na...
Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa.
Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko?
Pia soma...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini.
Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na nikamkumbusha mambo Mengi ya Nyuma ya History yake binafsi ambayo Wengi hawajui kwakuwa niliipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.