Kuna mambo yanafikirisha mno na hakika MUNGU siku zote hakawii kumuonyesha mtu adui yake halisi.
Siku chache tu zilizopita CCM walikua mstari wa mbele kuwalaumu CHADEMA kuwa sio wasikivu, wamegoma kuonana na Rais Kwenye ule Mkutano fake, sijui blah blah kibao.
Jana Lissu kakutana na Samia...
Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Na kibaya zaidi...
Za masaa wana JF.
Leo nimeona ni vyema kuwaletea kisa kilichonitokea mwaka 1987 nikiwa kidato cha tano huko Ilboru secondary school. Nilikuwa nikisikia tu habari za malaika kwenye ibada za kidini.
Siku hiyo niliamka usiku kwenda kusoma darasani kama kawaida yangu, yapata saa nane za usiku...
Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi.
Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips.
Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu.
Basi...
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.
"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani
Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua.
Katika Dominika...
Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji wakawa wanakunywa!!Kama mnavyojua mambo ya kunywa lazima kuwe na story mbili tatu plus makelele ya...
Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa.
Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.
Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA
🇹🇿 Simba SC
🇨🇩 Tp Mazembe
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇩🇿 JS Kabylie
🇳🇬 Enyimba
🇹🇳 CS Sfaxien
🇨🇲 Coton Sport
🇿🇦 Orlando Pirates
🇪🇬 Al Masry
Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up.
Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe...
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa wamachinga Taifa, Steven Lusinde wakati akitoa ufafanuzi kuhusu...
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007.
Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu.
Na alikuwa...
Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mohamed Foundation aliyojiunga nayo Aprili, 2016 ambayo hutoa misaada ya huduma za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021.
RAIS...
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.