Simba SC kukutana na miamba hawa

Simba SC kukutana na miamba hawa

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,578
Reaction score
7,055
PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA

🇹🇿 Simba SC
🇨🇩 Tp Mazembe
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇩🇿 JS Kabylie
🇳🇬 Enyimba
🇹🇳 CS Sfaxien
🇨🇲 Coton Sport
🇿🇦 Orlando Pirates
🇪🇬 Al Masry

Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up.

Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe wenyewe.Goli limepanuliwa
 
Bado Gor Mahia, Hearts of Oak, Rivers United na zingine tena nafikiri mpaka zitimie 16.
 
Caf huwa wanaipendelea sana mikia sijui kuna nini, hapo utashangaa anapangiwa cs sfaxien au cotton sport
Mipango mkuu hata wale Al-Ahally huwa hawakutani na tim ngumu hatua za mtoano.

Pia kumbuka Rais wa CAF ni Msouth anatukumbuka kwa kuwapinga Makaburu
 
Kapewa kibonde zaidi ya J. Galaxy
Kibonde wapi, saivi mikia hawana timu. Kama anakaziwa na Dodoma jiji, hiyo Arrow ➡ reds kwa nn isiwapige? Hata Jwaneng Galaxy mlisema hivyohivyo. Kiko wapi sasa? 😁
 
Back
Top Bottom