kukuza uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mulokoz

    SoC01 Jinsi ya kukuza Uchumi wa Tanzania kupitia Elimu Endelevu

    Naitwa Dickson Hynes natamani kusimulia safari yangu ya usomaji mpaka kufikia chuo kikuu. Nimezaliwa Tanzania mkoa wa Kagera halmashauri ya wilaya ya Bukoba tarafa Bugabo kata Kaagya. Nimesomea Kaagya Shule ya msingi kipindi ambapo Shule za kata zilianza kufanya kazi mikoa yote Tanzania...
  2. F

    SoC01 Serikali iwekeze katika vipaji vya Watanzania ili kukuza uchumi wa taifa

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk. Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
  3. plagiarism

    SoC01 Njia 6 za kukuza uchumi wa Tanzania

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia uchumi wa kati duniani lakini si sawa kuishia hapo lazima tuendele kupambania ili kufikia malengo...
  4. N

    Rais Samia, kukuza uchumi ni agenda endelevu, usipotoshwe ukadondoka puuuh!

    Nina uhakika asilimia 100 kuwa Mhe. Samia Hassan Suluhu akiamua kukomaa na kuleta Katiba Mpya basi 2025 ni lazima atashinda - tena atashinda kwa kishindo sana. Atakuwa akiongea tu kuwa yeye ni Rais wa maamuzi - ameamua kutekeleza jambo ambalo limekuwa gumu kutekelezwa kwa miaka mingi - yeye...
  5. Red Giant

    Rais Samia, ukitaka kukuza uchumi hakikisha nchi inazalisha chuma na inajitosheleza

    Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze katika uzalishaji huo. Ni ngumu sana nchi kuendelea na kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma. Hakuna...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Siasa za Tanzania: Tunasemana kuliko kusema mawazo ya kisiasa yanazoweza kukuza uchumi wa Taifa letu

    Katika siasa za Tanzania ni lini tutaacha kusemana ni lini tutaanza kuzisema political ideas za kujenga uchumi. Tunataka kuona watu wakiandika nyuzi za kujenga hoja za kukuza uchumi na sio kuwasema watu. Nyuzi nyingi zinazoanzikwa ni za chuki kwa watu fulani au viongozi fulani. Hii ni maana...
Back
Top Bottom