Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote.
Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa.
Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi.
Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani...
Utangulizi
Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
Ikiendelea hivi kama ambavyo wao wanaona ni busara kuwasaka na kuwakamata wanaharakati na wanapigia kelele mkataba!
Ni kukuza joto la upinzani na kuongeza kelele zaidi na hata kuchochea vitu vingine visivyotarajiwa!
Ilikuwa sawa kabisa kwa serikali kupuuza hizi kelele huku wao wakijikita...
Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza.
Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla.
Karibuni kuchangia.
Mabadiliko katika Nyanja ya Siasa: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji
Utangulizi.
Mabadiliko katika nyanja ya siasa yana jukumu muhimu katika kuendeleza utawala bora na uwajibikaji katika jamii. Kupitia makala hii, nitaainisha baadhi ya mabadiliko ambayo yanaweza kuchangia katika kuimarisha...
Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu
Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka.
Ajabu ni...
UTANGULIZI
Umoja wa kitaifa ni hali ya mshikamano kati ya watu wa taifa. Ni hisia ya kuhusishwa na utambulisho wa pamoja ambao huwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, bila kujali tofauti zao za kikabila, kidinii, kiitikadi na kiasili. Umoja wa kitaifa ni muhimu kwa taifa lenye nguvu na ustawi an...
Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na mwingiliano katika jamii. Maudhui katika masomo haya ya kijamii huchotwa kutoka vyanzo vya masomo...
ANDIKO LA MAONI
Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu, mchezo wa ngumi au masumbwi, kuogelea, riadha n.k.
Tanzania katika kuhakisha ukuaji wa michezo serikali...
Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya kibinadamu. Inahusisha matumizi ya sayansi, uhandisi, na maarifa mengine ya kibinadamu kwa lengo la kuunda...
Picha: RF studio
DIBAJI
Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili kufikia hapo walipo sasa. Teknologia ni moja ya nyezo umuhimu katika karne ya ishirini na moja ambayo...
Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
Kuleta utawala bora katika nyanja ya uchumi wa Tanzania ni muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa nchi. Utawala bora unahusisha uwajibikaji, uwazi, ushiriki wa wananchi, utawala wa sheria, na kupambana na ufisadi. Hapa chini ni orodha ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kufanikisha...
Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo.
Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449.
Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
Wachumi na watalaamu wa mambo ya uchumi wamekuna vichwa na sasa wanakubali kuwa sababu hizi zinaweza kukuza uchumi wa nchi kama zitafanywa kwa kuzingatia kanuni zake, na kwa msisitizo.
Na suala la uchumi mbovu katika nchi zinazoendelea ni jambo la kawaida, kiasi kwamba viwanda vingi vimekufa na...
Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images
UTANGULIZI
Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.