Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki).
Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake.
Na hata...
Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi.
Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere!
Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na...
Baadhi ya Wanawake wa Kijiji cha Shirimatunda, Kata ya Mnadani, Wilaya ya Hai wamekazimika kukimbia makazi yao kutokana na kuibuka kwa wimbi la Wanaume wanaofanya vitendo vya ubakaji.
Matukio hayo yanadaiwa kutokea katika maeneo ya mtoni wakati Wanawake wakifuata maji, ambapo wanaofanya tukio...
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,
Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.
Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana.
Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
Ma lecturer
Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake.
Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
Ni leo tena.
Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.
Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa.
Waziri wa Fedha...
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM.
Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00)...
Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake.
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe.
"Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo:
1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana
3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.