kulala uchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanandoa wanaolala bila nguo wana furaha zaidi kuliko wanaolala na nguo

    Utafiti umeonyesha kwamba wanandoa wanaolala uchi pamoja mara nyingi wanaripoti viwango vya juu vya kuridhika katika mahusiano yao ikilinganishwa na wale wanaolala wakiwa wamevaa mavazi. Katika utafiti uliofanywa kwa Wabritani 1,004, iligundulika kwamba asilimia 57 ya wale wanaolala uchi...
  2. Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

    Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise? Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume? Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…