kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Mko salama humu?
Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa?
Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.