Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa maelezo kuwa anaumwa.
Kesi hiyo ambayo ina kipindi cha mwaka mzima tangu ilipoanza kusikilizwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru.
Mara ya mwisho kesi...
Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane.
Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu.
Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika.
Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita...
Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi.
Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio...
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13.
Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani!
Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili!
Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5).
Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka wa 2009.
Majaji 3 kutoka Mahakama ya Rufaa ya California wamesema Mahakama ya Chini haikupaswa...
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha, George Kifaruka {43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17.
Akisomewa Mashitaka na Mwendesha...
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment).
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019.
Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.
Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.