Habari za muda huu wana JF
Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia.
Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
UPDATES:
Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kifungo cha maisha jela mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake (14).
Hukumu hivo iliyotolewa leo ljumaa Septemba 23, 2022 ni ya tatu...
Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane.
Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya...
Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba.
Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
Harold Gamalieli Mkaro ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Makedonia Lubaga Manispaa ya Shinyanga amesomewa shtaka la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga.
Agosti 24, 2022 Mchungaji huyo alifutiwa kesi namba 107 na...
Japo inafedhehesha lakini yaweza nipa nafuu akilini.
Zamani nikiwa na miaka 3-5 hivi mtaani wazazi wakiwa makazini tumekuwa na Kawaida kucheza kama watoto wetu miaka hii wanavyokusanyika na kukaa wakicheza.
Vijana wa kati ya miaka 7-9 wanapocheza pamoja na WA 3-5 na 6 ninapata kumbukumbu ya...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha.
Jumla amesomewa...
Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake.
Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa la tatu wa familia moja wa Shule ya Msingi Bukori.
Wanafunzi hao wameumizwa sehemu zao za siri kiasi cha kushindwa kwenda haja. Kamanda wa...
Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Februari 10, 2022 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi ACP, Ally Makame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.