Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio...