Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe.
Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameendelea kupiga marufuku tabia za Watoa huduma kulazimisha wananchi wanaoenda kupata huduma za afya kulazimishwa kuchanja, ameeleza kuwa tabia hiyo ni kinyume cha miongozo na maadili ya taaluma za Watoa huduma.
Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kujitokeza...
katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo.
Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
Mmiliki wa kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema kulazimisha watu kupata chanjo si sahihi
Yeye amepata chanjo lakini haitakiwi kuwapotezea wengine kazi zao
Suala la kulazimisha chanjo ameliita 'un-American' yaani sio Umarekani
===
Musk: "I am against forcing people to get vaccinated"
The...
Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja.
Hii itasaidia
1. Watumishi kuto ambukizana
2. Watumishi kuto ambukiza wananchi
3. Wananchi kuto kuwaambukiza watumishi
Nchini Kenya idadi ya...
Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao.
Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa
Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali...
Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu.
Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
Kwema ndugu zangu,
Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini.
Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi.
Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au?
Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi anakichukulia ni duni au si kipaumbele chake.
Chukulia mfano mtoto aliyemaliza form four na akafahulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.