Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
MH JAJI Mkuu
Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako
Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo
MH JAJI MKUU
Mahakimu WA mahakama za mwanzo wanatesa sana wananchi wanaumiza sana WANANCHI WASIO na uwezo...
Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu.
Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu!
Hao Wayahudi ambao wakristo...
Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X:
UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)?
Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange restrictions). Umoja wa Kisovieti haukuwa na upatikanaji rahisi wa dola za Kimarekani kwa ajili ya...
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!
Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii
Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa
TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
"Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu."
Mdau wa 1:
"Kwa upande wangu, naona watu wanapenda kuwa na kahaba kwa sababu inawapa uhuru zaidi wa kutokuwa na wajibu...
Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu.
Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea.
Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni.
Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni.
Wasabato wanaamini wao...
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.
Kwa upande wa Yanga wao hawana...
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...
Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco.
Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.