kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Video bora kuliko zote duniani inayoupamba mwaka mpya wa 2024

  2. sky soldier

    Ni kwanini kwenye makampuni ama bishara binafsi wanapenda zaidi kuajiri wanawake kuliko vijana wa kiume kazi za ofisini ?

    Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti. Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k. Kwanini
  3. whiteskunk

    Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri. Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi. Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa, Ila mjinga...
  4. Cybergates

    2024: Bora kuanza kunifunza animation kuliko programming

    Maoni!! Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka, Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming? Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na animation Animation ina fursa sana na soko kubwa kulinganisha na programming, kuanzia 2D hafi 3D soko...
  5. Nigrastratatract nerve

    January Makamba ni waziri mbovu kuliko mawaziri wote akifuatiwa na Mwigulu Nchemba

    January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu...
  6. stephenga

    Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa. Haswa ukizingatia...
  7. Nyafwili

    Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] " • Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Umaskini wa asili ni rahisi kuuondoa kuliko umaskini bandia (umaskini wa kutengenezwa na watawala)

    Anaandika, Robert Heriel, Mtibeli. Hakuna kazi rahisi kama kuuondoa Umaskini. Rahisi Sana. Ukisikia mtu anakuambia kupambana na umaskini na ikazidi ngumu basi jua huyo ni muongo au anazungumzia, Siasa. Matatizo ya asili yanakabiliwa kwa urahisi na kanuni rahisi kuliko matatizo ya kutengenezwa...
  9. M

    Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  10. 2019

    Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  11. Erythrocyte

    Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  12. matunduizi

    Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
Back
Top Bottom