"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
1)Eneo shamba lilipo
Kabla hujaanza kulima zao lolote, hebu kwanza angalia mahala shamba lako liipo. Je linafaa kwa kilimo au kulima zao ambalo unataka kulilima. Katika eneo lako hebu zingatia yafuatayo:-
Aina ya udongo sio kila udongo una uwezo wa kusapoti kila aina ya zao lililopo shambani...
Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.
Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.
Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning.
Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji?
Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
Kuna mvua zimenyesha juzi sehemu nyingi. Je, mvua hizi zitaendelea mpaka January tujiaminishe tupanda au tuache?
Kama tunapanda, tupande mazao gani? Miti ya kuhifadhi ardhi as one of the conditions for grant of a right of occupancy, mvua zitatosha kuhimili kushika?
Watanzania huwa tuna mambo ya ajabu sana. Tupo kinyumenyume sana. Kulima mazao kama mahindi mjini hakuna madhara yoyote, zaidi zaidi ni faida kwa mazingira ya mjini. Ni kama bustani mjini. Lakini utakuta miji mingi inasheria ya kutoruhusu mazao kama mahindi kupandwa mjini, wakitishia kuyakata...
Kwa miongo mingi nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, ambazo kilimo ni nguzo kuu ya uchumi, zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa mvua katika kufanya kilimo. Kilimo cha aina hii kilifanikiwa kwa kiasi chake miaka ya nyuma (tuseme miaka ya 1980 na kurudi nyuma), wakati hali ya hewa ikiwa...
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.
Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo.
Msaada, ni mazao gani hayo?
Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake.
Baadhi ya wakulima wachache mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Hai wameamua kulima kilimo cha zao la alovera kama zao la biashara...
Kilimo Cha Bangi kinatumika nchi Mbalimbali na jinsi siku zinavyokwenda ndivyo Mataifa mengi zaidi yanaruhusu kulima n kuvuta Bangi. Tanzania sisi msimamo wetu ni kuwafunga wavutaji na wauzaji miaka 30, kuchoma moto mashamba nakutumia mabiliaoni kupambana na raia wanaolima wakauze kwenye soko la...
Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri.
Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara...
Wakuu habari zenu,
Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.