habari wadau.
Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.
wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
Wakuu,
Leo akiwa anazungumza, Rais Samia amesema kuwa kuna wale wafanyabiashara ambao wakitakiwa kutoa kodi wanasema kuna maelekezo kutoka juu.
Rais Samia amesema kuwa kwa Tanzania, uongozi wa juu kwenye serikali ya Tanzania ni nafasi ya Rais na kwa kuwa yeye ndio Rais amesema wazi kuwa...
Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi.
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka.
Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
Habari.
Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?
Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
Malalamiko ya mifumo ya kikodi maeneo ya mipakani kutokuwa rafiki, kumewasukuma wafanyabiashara wilayani Ngara, mkoani Kagera kuwasilisha kero hiyo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa bungeni, jijini Dodoma.
Baada ya kukutana na wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Viwanda na...
Habarini,
Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu.
Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe kodi ila wanaopokea hizo hela wasilipe kodi?
Huo ni ujinga mkubwa na kama kuna hoja ya maandamano basi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa Maendeleo yao na Maslahi mapana kwa Taifa.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Agosti...
Rais wa Rwanda, #PaulKagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya Makusanyo ya Kanisa.
Pia Soma: Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika...
Ndugu wananchi wenzangu!
Kulipa kodi ni suala la kisheria. Lazima kila mwenye kipato alipe kodi.
Tusiishie hapo. Twende mbali zaidi. Tujitolee bure kwa ajili ya Taifa letu wenyewe. Kujitolea sio suala la kisheria kwa sasa. Sio lazima kwa sasa. Lakini kuna wengi tunaotamani hata liwe la...
Utangulizi.
Mama Fatma ni mama mwenye nyumba anayeheshimika sana katika kijiji cha Mivumoni. Ana majengo mawili ya kupangisha, ambayo yamejengwa kwa mbao imara na mabati ya kijani. Kila mwezi, wapangaji wake wanafika ofisini kwake, ambayo ni sehemu ya nyumbani kwake, kulipa kodi na kumshukuru...
Bwana yesu asifiwe.
Iko hivi, kuna kifaa nilinunua chenye thamani ya laki tatu, muuzaji aliponiandikia risiti aliandika elfu tatu, nikasema hili sikubaliani nalo. Wakaniambia wanipunguzie kidogo bei halafu risiti ile niichukue, nikasema no, mwisho jamaa akaandika laki tatu.
Hivi ni wangapi...
♻️ Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️ Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️ Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.