TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi.
=====
DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
Habari za asbh Wana bodi wenzangu!
Naomba nijulishwe kwa mwenye uzoefu juu ya Jambo hili.
Nina miliki kasteshenari huku mikoani, Mwaka Jana wakati nakaanzusha nikalazimika kutafuta leseni ya biashara, huko nikalazimika lazima nianze kwanza TRA ili kupata Tax clearance, nikafanyiwa makadirio ya...
Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi,
Serikali ya awamu ya Sita iliona ni bora kuziingiza kodi kwenye miamala ya simu ili kila unapofanya muamala ikatwe kodi moja kwa...
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali
Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni.
Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
Watanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo.
Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi.
Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa,
Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame
Ndugu wanabodi,
Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo
Niseme machache!
Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...
Kwema Wakuu!
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi.
Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu.
Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
Wabunge wetu wa TZ wamejadili na kujinasibu niya yao ya kuinua mapato ya Taifa kupitia kodi. Hali inayojionesha kwa miaka mingi, ni tabia yao ya kutozungumzia ulipajhi wao wa kodi, usioendana na kipato halisia walichonacho. Kwa ujumla hili ni Bunge la watu wa misheni touni.
Ktk kuhakikisha...
Hujambo?
Watu ambao hawataki kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii, tumechoka kusikia malalamiko yao!
Nchi haiwezi endelea bila wewe kutoa kodi, hutakia hama nchi! Oho! Mara makato miamala mikubwa !! Unataka nani akujengee nchi?
Acha ujinga na elimika!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.