Ndugu wanabodi,
Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo
Niseme machache!
Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...