kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Penalty ukichelewa kulipa ada Hii sheria ya wapi!!? Serikali mtusaidie

    Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi Imenisikitisha Sana Tunaomba wazirii HUSIKA...
  2. Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  3. Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  4. USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  5. Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…