kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Conwel Ngani

    Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  2. Miss Zomboko

    Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  3. Lady Whistledown

    Taasis ya Kimataifa ya Fedha (IMF): Mfumuko wa bei unaweka nchi maskini katika hatari ya kushindwa kulipa madeni

    Taasisi ya Fedha ya Kimataifa inasema mbinu bora zaidi zinahitajika ili kukabiliana na dhiki kuu ya deni. IMF imeonya kuwa bei ya juu ya chakula na nishati duniani kutokana na vita vya Ukraine inaathiri zaidi nchi masikini Bei ya juu sana ya chakula na nishati duniani kutokana na vita nchini...
  4. Cash Generating Unit

    TARURA nini kinaendelea mpaka deni la maegesho ya gari linaongezeka? Mamlaka itolee ufafanuzi

    TARURA tunaomba mtolee ufafanuzi kinachoendelea kwenye system zenu nilifikiri ni kwangu tu kumbe ni kilio cha kila mtu. Nilikuwa na deni la 13,000 nikasema ngoja leo niingie nilipe deni lao kufungua app nakuta 83,000 nikashtuka au ni penalty? Kucheki last payment nimefanya 15/03 sasa hiyo...
  5. Wimbo

    Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  6. John Haramba

    Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

    Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi. Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
  7. Fred Katulanda

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  8. Frumence M Kyauke

    Erick Omondi agoma kulipa deni baada ya kula uroda na kidosho

    Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya. Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
  9. F

    Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  10. May Day

    Ni nini kitatokea iwapo nitashindwa kumaliza kulipia Kiwanja?

    Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo. Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani mwanzo kisha utaendelea kulipia kiwango kilichobaki ndani ya miezi sita au mwaka au kwa makubaliano...
  11. Escrowseal1

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

    Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before? Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila...
  12. C

    Serikali inapokopa ili kulipa madeni, ni maendeleo?

    Nimetekewa kidogo, na nimetindikiwa na amani kwa sehemu, lakini nimepata msukumo wa kulileta hili suala hapa kwa uchambuzi zaidi. Nitaweka mada yangu katika maswali ili katika kuyajibu, tupate muafaka wa kitaalam juu ya azimio la kukopa ili kulipa mikopo. Kama wewe si mtaalam, au hujui, au huna...
  13. beth

    Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  14. William Mshumbusi

    Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  15. CK Allan

    Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja , Ngazi ya mshahara moja, Mwenzako anapata mshahara leo , Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo.. Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja, Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa...
  16. U

    Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  17. M

    Hivi kwanini sisi wanasimba tunakuwa wajinga kiasi hiki. Dewji alitakiwa kisheria kulipa bilioni 20 cash lakini anatuzungusha kwa mikutano?

    Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
  18. Mwanambee

    Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
  19. BabaMorgan

    Ikiwa nadaiwa mkopo na nikakiri nimeshindwa kulipa ni hatua gani naweza kuchukuliwa?

    Mtu ambaye amepitia struggle ya kudaiwa kiwango cha pesa ambacho kipo nje ya uwezo wake atakuwa ashaelewa nini namaanisha. Mfano unafanya kazi unalipwa 500,000/= per month una madeni sehemu tofauti lakini Total ya madeni yako ni 10,000,000/= ikumbukwe kwamba kwenye hayo madeni kuna madeni...
Back
Top Bottom