kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
  2. Binadamu Mtakatifu

    Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  3. BARD AI

    Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  4. MANKA MUSA

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  5. H

    Mliokopa salio la kawaida kwenye Airtel mmekutana na hiki kitu kwenye kulipa?

    Salamu wadau. Kifupi sio kulipa labda niseme utaratibu wao mpya sio mzuri. Juzi kwa dharura nimekopa salio la kawaida nimpigie jamaa nikafanikiwa sasa kesho yake nimeenda kwa wakala niweke hela nashangaa ghafla napigwa na kitu kwamba salio lako ulilokopa limekatwa deni lako na hela iliyobaki...
  6. BARD AI

    Serikali yaagizwa kulipa Tsh. Bil 21.8 baada ya kupandisha bei elekezi ya Pamba

    Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara yote. Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema Serikali iwajibike kulipa deni...
  7. BARD AI

    Watoto wa matajiri kulipa ada kubwa zaidi vyuo vikuu Kenya

    Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina. Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...
  8. N

    Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  9. JanguKamaJangu

    Dereva aliyemgonga Twiga kulipa faini Tsh Milioni 34.9

    Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo. Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nchi yetu haiwezi kuendelea kama fedha NYINGI Sana zinawekezwa kwenye siasa kulipa MISHAHARA na posho kubwa kubwa!

    Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie! Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu! Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
  11. S

    Serikali na BOT, mbali na watumishi kukatwa mishahara kulipa mikopo yao, watumishi waruhusiwe pia kulipa wao wenyewe waweze kumaliza madeni yao mapema

    Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
  12. FRANCIS DA DON

    Je, ni kweli tozo wanazotozwa wananchi zinatumika kulipa mikopo wanayochukua Zanzibar?

    Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa. Hivi uwe na maandazi 10, halafu...
  13. Erythrocyte

    Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
  14. BARD AI

    Wanafunzi kulipa Tsh. Milioni 4.8 kwenda China na Air Tanzania

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100. Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
  15. BARD AI

    Mbarali: Wahujumu uchumi wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 65.5

    Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi. Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
  16. Komeo Lachuma

    Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  17. BARD AI

    Rwanda: Serikali kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.3 kwa kuuza shopping mall ya mfanyabiashara Tribert Rujugiro

    Mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru mfanyabiashara Tribert Rujugiro anayeishi uhamishoni, kulipwa fedha hizo baada ya kubaini kuwa serikali ya Rwanda ilikiuka Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kujipa mamlaka na kuuza jumba lake la maduka "Shopping Mall". Uamuzi huo unajumuisha riba...
  18. Sultani Makenga

    Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.

  19. Frumence M Kyauke

    Nini sababu ya 90% ya wakopaji kushindwa kurejesha mikopo yao?

    Kuna jambo la kustaajabisha sana kuhusiana ya mikopo, mara nyingi mikopo hailipwi kwa sababu zisizoeleweka na imepelekea baadhi ya watu kuona kuwa mikopo ni matatizo katika maisha yao huku wengine wakidai fedha za mikopo hazina baraka nakadhalika. Je, wewe una lipi la kuzungumzia juu ya swala hili?
  20. N

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
Back
Top Bottom