kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Restless Hustler

    Msaada: Namna ya kulipa ada ya kozi ya online

    Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
  2. Mhafidhina07

    Tukumbushane kulipa kodi

    Habari zenu, Kwanza nianze kwa kusema kuwa sijatumwa wala sina chembe ya uanachama wa itikadi yeyote ya chama cha siasa,mimi ni Mtanzania halali ambaye nimeamua kwa dhati na mahaba kwa nchi yangu kukumbusha wananchi wenzangu. NCHI HAIJIJENGI Ipo nadharia moja kwa waliosoma DS vyuoni inasema...
  3. sajosojo

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  4. FRANCIS DA DON

    Moodys wamekuja nchini kutathmini cha kuuza endapo tutashindwa kulipa mikopo?

    Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje? Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania

    Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya meli nyingine ya kifahari kutia nanga leo fukwe za Kilwa ikiwa na abiria 125 kutokea nchini Ufaransa...
  6. ChoiceVariable

    Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  7. MSAGA SUMU

    Kigwangalla: Rais anaweza kuwafutia kesi lakini suala la kulipa mikopo ya benki ni jukumu lao la msingi

    Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo. Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
  8. Lycaon pictus

    Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

  9. benzemah

    Diplomasia ya uchumi chini ya Rais Samia inazidi kulipa. Rostam ruksa Kenya

    Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo. Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
  10. JanguKamaJangu

    Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  11. N

    Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  12. The unpaid Seller

    Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  13. BARD AI

    House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  14. S

    Hivi kuna wabahiri kama Wakenya kwenye kulipa mishahara?

    Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo. Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime. Kama unafanya nao kazi hawa raia hakikisha michango yako ya HESLB na makato ya NSSF yanapelekwa sehemu husika kila mwezi...
  15. M

    Genge la wahuni liliko nyuma ya feisal limchangie pia pesa za kwenda CAS na akishindwa na uko pia liwe tiyali kumlipia fidia atakayotakiwa kulipa

    Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
  16. Expensive life

    Umekopa pesa za watu umeshindwa kulipa eti unaenda kwa Mwamposa uombewe! Lipa pesa za watu

    Ndugu zangu hawa watumishi wa Mungu wana mizigo mizito mtu kakopa pesa za watu kazilia bata kashindwa kulipa kaona isiwe tabu, kwa kuwa ameona wengine wakishuhudia kuwa walikuwa na mizigo mikubwa ya madeni eti baada ya kuombewa madeni yote ya yaneisha. Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa...
  17. R

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  18. BARD AI

    Ruzuku ya Umeme kusitishwa Desemba 31, wananchi kulipa zaidi kuanzia Jan 1, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko hilo. Wanaotumia Uniti 50 kwa mwezi walikuwa wakilipa Tsh. 17,794, wanaotumia uniti 200 walilipa...
  19. B

    SMZ yaamriwa kulipa Tshs. 158bn likiwa deni la tani 39,900 za mchele

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatakiwa kulipa deni la shilingi 158bn la mchele wa tani 39,900 za mchele ulioagizwa mwaka 1985. Shauri hilo lilofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani na kampuni ya Laemthong Rice Co. Ltd, inadai kuwa imekuwa vigumu kupatikana kwa malipo ingawa bidhaa hiyo ili...
  20. BARD AI

    TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
Back
Top Bottom