kumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwana Lucas Mwashambwa kumbuka internet nayo inatunza ujinga na uongo

    Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea. Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
  2. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  3. Iambie Dunia kwanini uliumbwa

    Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani. Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi kabisa ya kuibadilisha dunia hii. Swali ni! KWANINI ULIUMBWA? Kwanini ulikuja katika hii dunia...
  4. Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

    Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake. But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa...
  5. R

    Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

    Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo! ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
  6. A

    Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

    Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje. Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
  7. Unapokuwa umefanikiwa sana kifedha kumbuka vyote vitakavyoanza kuja kwako ni kwa hisani ya fedha yako

    Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini. Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao za ukweli. Wanataka mali zote. Wanataka kile walichokiona kwako ile mara ya kwanza tu ulivyo mwambia...
  8. Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

    Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo...
  9. Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  10. Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  11. Lissu ukiendelea kumshambulia mzanzibar kumbuka kushukuru, ni mzanzibar alijitojitolea kukodisha ndege kuokoa maisha yako

    Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake, lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa. Alijitolea mbunge na kada wa ccm...
  12. M

    Jerry Slaa Kumbuka waonee huruma wananchi wa Sae Mbeya

    Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO. Slaa unajua uamuzi wako uliotofautina na WA mtangulizi wako Lukuvi unavyowatesa wananchi wanaotakiwa kubomolewa makazi Yao...
  13. Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  14. R

    Madeleka Kumbuka Mbunge Pauline Gekul alikuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria; alimsimamia DPP na Mahakama hivyo ni bosi wao

    Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria . Ofisi ya Katiba na Sheria ndipo walipo majaji na DPP, huyu alikuwa bosi wa watu wa judicial na DPP. Je...
  15. R

    Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  16. Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

    MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongera sana Dr
  17. Kumbuka Kuwa Na Shukrani Mara Kwa Mara, Utaona Faida Kama Hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  18. SoC03 Kumbuka kuwa na shukrani mara kwa mara, utaona faida kama hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  19. Kumbuka kuujali Muonekano wako uongeze kujiamini

    Muonekano wako ndo kila kitu. Ndio unaamua watu wengine tukuchukuliaje. Ndio unaamua watu wakuheshimu haraka au la. Muonekano wa nje upo juu yako kabisa. Unaweza kuubadili muda wowote na ukaufanyia kazi. Wala usisingizie kitu. Unaweza kujiweka utakavyo. Hivyo usipuuze hilo ukabaki kujisemea...
  20. Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena. Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe. Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua. Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha. Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…