lala, amka kumbuka kuwa lengo kuu la mwaka ni kutafuta pesa ili wanao wasije kupitia mateso, misukosuko na majuto uliyopitia... swali ni kwamba unazipataje hizo hela? hasa kwa wale wasomi ambao tunatumia muda mwingi kusoma vitu ambavyo havina uhalisia na maisha ya mtaani?
Habari zenu wakuu,
Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
Jenista Mhagama, kumbuka ahadi Yako ndani ya Bunge la bajeti la 2022-2023.
Kwamba serikali ya awamu ya sita, imeandaa fedha kwa ajili ya kuwafanyia interview waombaji Ajira kupitia, utumishi site or Ajira Portal.
Fedha hizo zitatumika, kuwafanyia interview waomba Ajira, katika mikoa yao...
KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA.
Anaandika, Robert Heriel.
Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo.
Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo.
Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa.
Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la mtu binafsi na kwamba usijimilikishe michakato ya kitaifa kufika hatua ya kuumiza watu wengine ili...
Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu.
Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???
Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile...
Mwaka 1880 Malkia Sunanda Kamiriratana wa Thailand akiwa kwenye boat ndogo ya kifalme, boat hiyo ilipata ajali kwa kugongana na boat kubwa.
Watu waliokuwa kwenye boat ndogo yani malkia, binti yake, vijakazi na walinzi wake wote walidumbukia kwenye maji.
Shida ikawa ni je wamuokoe malkia au...
Usiombe mvua inyeshe na una nappy 5, wakati huo omo haipatikani sabuni olikua Foma kutoka Tanga. Nappy hazikuwa rahisi kwani zilipatikana kwa matendo kutoka Zambia, Kenya, Congo na walioishi mipakani ndiyo walituletea. Ukisafiri Dar Bukoba unafunga nappy chafu utafua ukifika.
Hizi...
Nakusalimu mama!
Kwanza nakukumbusha methali isemayo "Ushikwapo Shikamana" Tangu lilipotokea janga la msiba wa Magufuli, katiba ilikutaka wewe ndo uwe Rais wetu lkn mazingira ya wewe kuwa rais hayakuwa mepesi, tunamshukuru mungu uliapishwa na kushika madaraka. Baada ya kuapishwa wana CCM wenzio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.