Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto, Manyara. Sambamba na hilo wakazi wa Mji wa Kibaya walijitokeza kwa wingi katika upandaji wa Miti 500...
Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo
Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru.
Mwanangu wewe...
Salaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
Salaam,
Kuna wakati katika maisha yetu Tanzania Bunge lilikuwa linasikilizika, hoja, zilikuwa zinatengenezwa.
Bongo zetu zilikuwa zinapata madini na kufahamu mambo mengi. Kwa hali za Chaguzi za sasa na namna Wapinzania wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe, sijajua kama hali hii itakuja kutokea...
Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani katika chama. Sababu haiwezekani kila siku kwenye chama, kundi moja wala halikosei, kundi jingine...
Karibuni kwa maada .....
Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
Moja kwa Moja.
Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama akiba na kupiga mishe ndogo ndogo kitaa ili kujazia kibubu baada ya miezi kadhaa nikavunja...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere:
1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
baba wa taifa
julius kambarage nyerere
julius nyerere
kambarage
kumbukizikumbukizi julius nyerere
miaka 25
mtumishi
mtumishi wa mungu
mungu
mwalimu nyerere
nyerere
nyerere day
oktoba 14
Kwako Mwalimu Nyerere;
Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako.
Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe.
Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
Habari wadau wangu,
Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii.
Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Juu, Mkoani Arusha tarehe 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.