Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo;
1. Utunzi makini.
2. Upangiliaji wa nyimbo.
3. Upigaji bora wa solo gitaa.
4. Uibuaji wa vipaji vya muziki.
5. Nidhamu kwa wanamuziki.
6. Sebene la muda mrefu.
7. Kuchomekea majina...
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu.
Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu.
Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia..
========
Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.
Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani.
Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
ABUU KAUTHAR
Tukio la kawaida la mkusanyiko wa watu kumkumbuka mpendwa wao limenifumbua akili na kuyajua mambo mengi kuhusu siasa za nchi hii na asili ya uhusiano wa karibu wa baadhi ya watu.
Nazungumzia kumbukizi ya miaka 20 tangu kufariki kwa mmoja wa viongozi mahiri wa Chama cha Mapinduzi...
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao.
Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
Kama binadamu, sote tuna mapungufu. Hata hivyo ashukuriwe Mola kwa kutupatia nyota wa kuangalia na kujifunza miongoni mwetu.
Enyi viongozi wetu wa zama hizi mliojawa na ubinafsi uliopitiliza, mtakumbukwa kwa ubinafsi wenu?
----------
Credit kwako mkuu sana bwana Achimwene wa Makete:
Mambo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai.
Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa...
Ndugu zangu,
Mnamo mwaka 1999 aliyekuwa Meneja wa Billcanas ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Chadema akimkabidhi tuzo mlimbwende Hoyce Temu ambaye kwa sasa ni Balozi mteule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.