kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Upendo toka Manyara: Sherehe ya Kumbukizi Kuzaliwa Rais Samia Suluhu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto, Manyara. Sambamba na hilo wakazi wa Mji wa Kibaya walijitokeza kwa wingi katika upandaji wa Miti 500...
  2. Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. Mwanangu wewe...
  3. Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  4. Kumbukizi: Mawe ya Heche Bungeni, nimemiss Bunge hili, Sijui kama kuna siku litarejea

    Salaam, Kuna wakati katika maisha yetu Tanzania Bunge lilikuwa linasikilizika, hoja, zilikuwa zinatengenezwa. Bongo zetu zilikuwa zinapata madini na kufahamu mambo mengi. Kwa hali za Chaguzi za sasa na namna Wapinzania wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe, sijajua kama hali hii itakuja kutokea...
  5. M

    Kumbukizi; Zitto Kabwe: 2009 nilipogombea Uenyekiti taita CHADEMA, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama

    Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani katika chama. Sababu haiwezekani kila siku kwenye chama, kundi moja wala halikosei, kundi jingine...
  6. Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

    Kwa mahitaji na matumizi mbali mbali Kuharibu Kutengeneza Kukinga Kulinda Kufungwa Mvuta nk
  7. KUMBUKIZI KATIKA PICHA

    HII ILIKIWA MATOKEO YA MARA YA MWISHO WATANZANIA WALIVYOJARIBU KUIONDOA CCM MADARAKANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
  8. Ifahamu tarehe 01 November na tarehe 02 November katika mapokeo na kumbukizi katika Kanisa Katoliki

    Karibuni kwa maada ..... Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
  9. Miaka Tisa (9) ndani ya JF: Kumbukizi nilivyojiunga na kuishi JF nikiwa kama Mwanafunzi wa Sekondari

    Moja kwa Moja. Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama akiba na kupiga mishe ndogo ndogo kitaa ili kujazia kibubu baada ya miezi kadhaa nikavunja...
  10. Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

    Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
  11. R

    Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  12. Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  13. Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  14. R

    Uchaguzi 2020 Kumbukizi ya homa za uchaguzi CCM 2020

  15. Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
  16. Heri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa kwangu

    Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future...... Nisaidieni kuniwish basi
  17. Kumbukizi: Leo ni Miaka 21 tangu Marc Vivien Foe adondoke uwanjani na kufariki Dunia

    Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe. Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
  18. Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii. Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
  19. #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

    Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
  20. Arusha: Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya Miaka 40 ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine. Atoa pole kwa familia za wanafunzi waliofariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Juu, Mkoani Arusha tarehe 12...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…