Natumai mu buheri wa afya tele,
Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili.
Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu nisiyempenda naye ntaanza kumchukia hapo hapo.
Yaani haijalishi kama hajawahi nikwaza ntamchukia hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.