kumchukia mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  2. iamriq_arthur

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kumchukia mtu wa jinsia yoyote anayefanana na adui yangu kwa sura

    Natumai mu buheri wa afya tele, Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili. Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu nisiyempenda naye ntaanza kumchukia hapo hapo. Yaani haijalishi kama hajawahi nikwaza ntamchukia hivyo...
Back
Top Bottom