Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.
Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo...