kumiliki ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yasistiza wanandoa kumiliki ardhi pamoja kuepuka migogoro ya ardhi

    ★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki. Akizungumza kwenye...
  2. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanaume Una Miaka 20 Mjini, Hata Kiwanja cha Miguu 5 Huna? Rudi Kijijini Ukalime

    Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta. Hivi inakuwaje mwanaume mzima, una akili zako timamu, upo mjini miaka 15 hadi 20—eti unatafuta maisha. Swali langu ni...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha: Samia Ardhi Kliniki itasaidia Wanawake wengi kumiliki ardhi

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” hatua inayoweka mazingira rafiki kwa wanawake wengi kumiliki ardhi kisheria sambamba na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na maendeleo. Wanawake wa Mkoa wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanamiliki migodi ya dhahabu na almasi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndogo, huu muungano Julius alirogwa ?

    Wapo wazanzibari wanamiliki migodi Geita, Mbeya, Mara, Mererani, Ruvuma, n.k. Mtanzania wa Bara huwezi kugusa mgodi unaomilikiwa na m=Mzanzibari hadi upewe ruhusa yake na hata ukiruhusiwa kuchimba, ukipata madini ni yeye anaamua mgawanyo. wapo waliotajirika na kuwa mabilionea kwa madini ya Bara...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa masoko ya ardhi na wanaweza kukusaidia kupata viwanja vilivyopo kwenye bei nafuu. Madalali wana uelewa...
  6. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Max Maxwell raia wa Kigeni amenunua Ekari 300 za ardhi nchini Tanzania

    Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji. Max ameandika; "Leo ni ndoto ya kutimia ambayo ilianza mwaka wa 2010 na maono kwenye bodi yangu...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je, unajua hati yako ya kumiliki ardhi inaweza batilishwa akapewa mwingine?

    Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  10. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza wazanzibari maana hawana mchezo kwenye kulitekeleza hili kwa kulinda ardhi yao iwe kwajili yao, Lakini sasa...
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Asiye raia wa Tanzania lakini alizaliwa Tanzania anaweza kumiliki ardhi?

    Naomba adm msiiweke kule kwenye jukwaa la sheria kwanza ila kila mtu atoe mawazo yake kwanza. Kuna babu mmoja watoto wake wa kiume wote aliojaliwa wako Marekani zaidi ya miaka20 sasa. Walizaliwa Tanzania lakini wakahamia Marekani japo mara kwa mara wanakuja kumuona babu yao. Kwa kuzaliwa...
  13. aleesha

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

    Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo. Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uhamiaji: Nahitaji kupata nyaraka gani kuishi na kumiliki ardhi Tanzania kama mgeni?

    Habari ndugu? 1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)? 2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
  15. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
Back
Top Bottom