KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...