Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news
Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu.
Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.