Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA.
Maneno haya huja baada ya kupitia tanuri la moto na viapo vingi sana mbele ya viongozi wakuu wa CCM. Tena utazungushwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.