kumtongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku nne baada ya kumtongoza single mother nimeombwa 10k ya mchezo

    Bhana uku na uku uku na kule nikajuana na single mama mmoja mzuri sana sura trakon 👍 yaani yupo kamili kweli Kijana nikatema vocals nikakaziwa nikawa na force nikimsisitizia kuwa Mimi nimemuelewa sana Akiwa anakaza Leo jioni nikachekiwa jioni nikachekiwa sorry nimetoka kanisani "Nina shida...
  2. Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

    Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
  3. Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  4. C

    Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

    Kwema, Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
  5. Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

    Habari wakuu ..! Mimi naona kwa jinsi vitendo vya ubakaji ,kulawiti watoto wadogo ,na unyanyasaji wa kingono kwa watoto vinavyozidi kutamalaki kwenye jamii zetu ,ifike hatua serikali itoe SoMo huko mashuleni namna ya kutongoza na kubembeleza ili kupata mbususu kirahisi ..! Maana binadamu...
  6. Mbona kumpata mwanamke wa kumtongoza kwangu imekuwa ngumu?

    Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu. Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa kutongoza mwanamke aina yeyote yule Duniani hata awe raisi wa nchi kama kanipa space ya kumtongoza...
  7. Binti aliyeonesha dalili za kunipenda kaniruka futi mia baada ya kumtongoza

    Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
  8. Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

    Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli. Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa. Kumuanzishia thread haijakaa poa. Hapa najua...
  9. C

    Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
  10. Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati...
  11. Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

    Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa...
  12. Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi...
  13. Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  14. Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika....

    msome huyu mwamba kwa ufupi afu useme kafeli wapi? Mpare: Money Penny bwana kuna kisa nataka nikueleze, kuna dada anaitwa Vera Sidika, nilimtongozaga mwaka 2014 nikiwa kenya Money Penny: aisee, ikawaje? Mpare: nilikutanishwa nae club bwana na marafiki zangu, ila sina hamu Money Penny...
  15. Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  16. Ukipata nafasi ya kumtongoza mwanamke fanya bila kusita

    Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari! Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja wake. Inabidi niendelee tu kumtamani kwa mbali.
  17. Msaada tafadhali: Kisaikolojia nahisi mimi kumtongoza mwanamke ni kama najishusha, na najidhalilisha.

    Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year. Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
  18. Badili mtazamo wako kuwa hivi ili usipate shida kuhusu wanawake

    Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka, Nawezaje kumpata...
  19. Mwongozo rahisi wa Kumtongoza Mwanamke unayekutana naye mara kwa mara

    Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo. Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara. Hakikisha unajulikana na watu, ongea na watu wengi kadri uwezavyo. Hili litaongeza thamani yako kama...
  20. Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

    Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje? Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…