Wasalaam
Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M.
Kwahiyo nilimtumia rafiki yake kuzoeana naye ili iwe rahisi kumtokea. Sasa katika harakati za kulivuta...
Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako.
Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.
Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point.
Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza...
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayo kaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia nikamuonyesha njia mpaka kwa huyo mtu.
Sasa baada ya kuchukua hiyo namba nikawa kila siku namsalimia...
Habari Wanaume Wa JF
Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke.
Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza...
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.
Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae.
Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine...
Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi, licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa.
Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi.
Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula...
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.
Nikaanza...
Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.
Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na...
Wakuu habari zenu,
Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara.
Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.