kumtongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
  2. T

    Daah, ghafla nimepunguziwa hamu ya kumtongoza huyu mwanamke

    Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A  ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M. Kwahiyo nilimtumia rafiki yake kuzoeana naye ili iwe rahisi kumtokea. Sasa katika harakati za kulivuta...
  3. Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  4. Ameleta dharau na maringo nimwembia naenda kumtongoza rafiki yake, amenywea na kawa mpole

    Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau. Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue. Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
  5. Naona kama kumtongoza mdada ni namna fulani hivi ya mwanaume kujishusha na kujidhalilisha

    Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point. Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza...
  6. Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayo kaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia nikamuonyesha njia mpaka kwa huyo mtu. Sasa baada ya kuchukua hiyo namba nikawa kila siku namsalimia...
  7. Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

    Habari Wanaume Wa JF Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke. Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza...
  8. Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

    Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
  9. Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

    Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19. Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae. Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine...
  10. C

    Alinipiga mizinga nikaambulia zero, eti sasa anaanza kunitafuta

    Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi, licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa. Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi. Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula...
  11. Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  12. Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo. Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
  13. X

    Muonekano na tabia za mwanamke zitaamua aina ya mwanaume wa kumtongoza

    UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na...
  14. Hivi kuna haja ya kuendelea kuwasiliana na msichana uliyemtongoza akakukataa?

    Wakuu habari zenu, Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara. Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…