kumuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    Umeshawai kumuacha mpenzi wako halafu ukajutia

    Husika na kichwa cha habari , Umeshawai kumuacha mpnz wako halafu ukajutia baada ya kukutana na Bomu zaidi , halafu unatamani kumrudia uliyemuacha, Funguka tupate experience mbali mbali
  2. Leonce jr

    Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

    Habari. Moja kwa moja kwenye mada Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa. Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

    NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
  4. BOMBAY

    Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  5. J

    Mwanafunzi anayedaiwa kuchapwa viboko na kumuacha na uvimbe na makovu Dodoma

    Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
  6. mdukuzi

    Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

    Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana. Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto. Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
  7. GENTAMYCINE

    Kwa kumuacha huku Onana hapa sasa tumeenda sawa na Kunifurahisha, ila naomba Kibu Denis apewe Adhabu Kali au aombe Radhi leo kwa Mkapa

    Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri. Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
  8. GENTAMYCINE

    Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  9. F

    Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

    Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu...
  10. BabaMorgan

    Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  11. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  12. Suley2019

    Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

    Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote...
  13. bagabe

    Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

    Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya binti fulani nimeishi nae 5 years ila nilipotezea hisia nae na kuhitaji kuachana nae.Wapo...
  14. MTINGIJOLI

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  15. Tajiri wa kusini

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  16. G

    Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

    BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA, Huruhusiwi kuongeza mke Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya, Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza...
  17. Kyambamasimbi

    Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  18. Replica

    Pre GE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli. Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
  19. S

    Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

    Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa. Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe? Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba...
  20. K

    Ilikuwaje ukamuacha yule mpenzi wako uliyempenda sana?

    Wakuu kwema? Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka, anajikuta kwenye stress nzito hadi anatamani dunia imdondokee afe tu. Sasa hebu tushare inakuwaje wapenzi...
Back
Top Bottom