Natumai mu wazima humu ndani,
Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo nilichokula ila nina ushahidi nalo kwangu na washkaji na marafiki zangu kwa ujumla.
Mwanamke...
Habari zenu mabaharia,
Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa, she is🔥🔥🔥🔥🔥
Nataka kumpiga chini coz nikiendelea kua nae ntajifunga, huko mbele sitoweza kumkimbia...
Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa.
Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
" Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine.
Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye mapenzi nikisema tusubiri siku rasmi ya ndoa. Lakini ilishindikana baada ya siku moja tukiwa home...
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.