kumuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I ๐Ÿ’• love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  2. B

    Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  3. MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA ๐Ÿ‘‡ Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women ๐Ÿšบ hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  4. Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  5. C

    Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

    Kwema wakuu, Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
  6. G

    Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  7. T

    Nina mpango wa kumuoa lakini amezidi kelele

    Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye. Kwanza amekua mtu wa kisirani, kakitu kadogo ataongea mpaka inaboa, ukichelewa kupokea simu hata kama ulikua na...
  8. T

    Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  9. T

    Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe. Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke ambaye nampenda sana, lakini katika kipindi chote cha mahusiano nimepitia mambo mengi sana kiasi kwamba...
  10. G

    Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

    Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja kwao kuwa mimi ndiye mhusika. Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza...
  11. Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  12. N

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa...
  13. Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  14. Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  15. Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

    Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
  16. S

    Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

    Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye interview Mpya na kuweka wazi kuwa yeye akitaka kuoa ni lazima mwanamke husika awe bikra bila hivyo Haoi...
  17. M

    Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
  18. Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  19. C

    Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

    Kwema wakuu, Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm. Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa. Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ