Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta.
Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ana watoto 2 kila mmoja na baba yake. Kijana kamaliza shahada yake...
Habari wakuu
Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.
Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.