kumuomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurunzi

    Abdudlquarim Malisa naye Ajitokeza Kumuomba Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA Msamaha

    Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2 Naye Mjumbe wa...
  2. Official Mussa

    Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  3. ChoiceVariable

    Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  4. GENTAMYCINE

    Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  5. 2025DG

    Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  6. Sky Eclat

    Kuzaa si kupata ni kumuomba Mungu tu

    Jirani yangu Rosa alijaliwa mtoto mmoja wa kiume. Walimsomesha mtotoekatika shule za gharama na walimpa kila kilichokua katika uwezo wao. Rosa na mume wake walijenga nyumba nadhifu na mume alidariki miaka michache iliyopita. Kijana wa Rosa amekuwa mtu wa hovyo hovyo asiye elewa thamani ya...
  7. Superbug

    Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

    Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
  8. J

    Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  9. Abraham Lincolnn

    Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

    Habari wakuu, Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano. Kwa siku kadhaa...
Back
Top Bottom