kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  2. O

    Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  4. DreezyD98

    Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  5. F

    Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  6. MK254

    Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  7. JanguKamaJangu

    Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kuzaa mwenyewe

    Na Walter Mguluchuma -Katavi Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Agustino Mikese Mkazi wa Kijiji cha Isinde Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16...
  8. BARD AI

    Askari 7 wanaodaiwa kumuua Mfanyabiashara wa Madini kupandishwa Kizimbani Januari 11

    Kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imepangiwa tarehe nyingine ya kusikilizwa kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao jana walifikishwa kwa mara nyingine mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara na kupangiwa kusikilizwa tena Januari 11, mwaka huu...
  9. BARD AI

    Anayedaiwa kumuua ‘Trafiki’ kuhukumiwa Machi 2023

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 17, 2023 kusoma hukumu ya kesi ya mauaji ya askari wa kikosi cha usalama barabarani, Sajenti Mensah inayomkabili Amani Philipo. Tarehe hiyo ilipangwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Lumuli Mbuya anayesikiliza kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kufunga...
  10. BARD AI

    Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

    Agosti 16, 2017 jiji la Dar es Salaam na dunia kwa ujumla lilipokea taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Wayne Lotter, Mkurugenzi wa Taasisi ya Protected Area Management System (PAMS), inayojishughulisha na harakati za kupambana na ujangili chini ya mwamvuli wa utetezi na uhifadhi wa wanyama pori...
  11. BARD AI

    Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo. Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
  12. BARD AI

    Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

    Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff. Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi. Kifo chake...
  13. Zainab j

    Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  14. Sildenafil Citrate

    Usimuache mtoto peke yake kwenye gari. Joto linaweza kumuua

    Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa Heat Stroke inaweza kutokea. Hutokea baada ya mifumo ya mwili kushindwa kudhibiti ongezeko la ghalfa...
  15. BARD AI

    Mtanzania asakwa nchini Kenya kwa kumuua mwenzake kisa ugali

    Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
  16. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

    Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi. Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
  17. BARD AI

    Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  18. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  19. JanguKamaJangu

    Ashikiliwa akituhumiwa kufanya jaribio la kumuua Makamu Raia wa Argentina

    Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires. Mtuhumiwa amenaswa na picha za video zilizokuwa mubashara akiwa na bastola kisha kuielekeza kwa...
  20. Lady Whistledown

    Rombo: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kushirikiana na Mpenzi wake Kumuua Mama yake

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi. Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
Back
Top Bottom