kundi la hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema. Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran. Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…