Duru zinasema kundi la Hamas limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado kuna mkwamo kuelekea kufikiwa mkataba kutokana na msimamo wa Hamas wa kutaka Israel iondoe vikosi vyake vyote kutoka Ukanda wa Gaza wakati wa utekelezaji wa mkataba utakaopatikana, misaada iingie kwa wingi kutoa afueni kwa Wapalestina na baada ya muda huo wa siku 60 kumalizika vita visitishwe kabisa huko Gaza.
 
Hao magaidi wanataka wapate muda wa kupora chakula na kuhifadhi stock ili wakati wa vita wawe wamekuwa na akiba nzuri ya chakula.
 
Ndugu punguza mahaba kwani mwenyekutaka Vita Isimame nani ni ombi la nani tuanzie epo kinachofaamika ni upande wa Israel ndio unataka HALF TIME kupitia Tramp !!!!

sio Hamas kwaiyo kuipangia tena Hamas vile nyinyi mnataka haaaaaaa sio kweli..

kama vipi Vita viendelee kama noma naiwe noma !!

kuna kitu Israel imepungukiwa na pande ya Houthi kule wamepata taarifa nyeti!!!

shida ipo hapa Israel imepambana kulekebisha bandari ya HAIFA ambayo ilipitia kipigo kibaya kutoka Iran !!

sasa mafundi wa israel walikuwa ni kama wapo seem nzuri kulejesha uduma !! Houthi wakapiga upya palepale kwenye Mshono !!

sasa Israel inataka kutumia bandari ya kusini ya EILAT !!

picha lipo apo kwasasa.

Houthi inajua kwenye izo Meli kuna mizigo mizito ndiomana inadhizamisha kabisa. !! Hii Vita ishakuwa ngumu wa Israel muda ndio mwalimu,,
 
Magaidi wa Hamas ndio wanataka vita vikomeshwe kabisa baada ya siku 60 za usitishwaji wa mapigano kwa sababu wenyewe magaidi pamoja na wapalestina kwa ujumla wanaisha kwani zaidi ya 55,000 wameshakiufa na bado wanaendelea kufa kila uchao.
 
Houth nawakubali sana,hakuna vita ngumu kama ya kuvizia,ndo Israel inamshinda.
Vita vya man to man anaeza mrusi tu na mijegeje yake ile,nikikumbuka Wagner daaah noma
 
Back
Top Bottom