Yusuf Mbashir (19), Ahmed Shaban (21) na Abdul Karim Salim (22) walizuiliwa Horohoro border kabla ya kukabidhiwa kwa maafisa wa Kenya huko Lunga Lunga, Kwale.
Polisi wanasema vijana hao hawakuwa na travel documents na walikuwa wakielekea kwa magaidi wa ISIS-linked militants huko Mozambique...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Nilikuwa nawaambia mbela ya utawala wa uislamu hawa washenzi ni kuuliwa kwa vile wanaua watu wasiokuwa na hatia kwa kujificha nyuma ya kivuli cha dini, hawa ISIS wanaua waislamu ,kubwa zaidi kwa kuchafua dini sijui wanatoa wapi hayo mafundisho.
Walishakemewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.