Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu.
Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika!
Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi.
Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu sugu,sofa zilizo na uchafu sugu na vyote nang'arisha kurudi kuwa na muonekano mpya kabisa haijarishi aina...
Habari wana JamiiForums hope wote mpo poa ndugu yenu nina mabalaa apa ni mwez wa tatu huu cjalala kwa raha nimevamiwa na kungun hata cjui nifanyaje.
Balaa lilianza kama miezi mitatu iliopita nilikuwa nalala kwenye godoro ambalo halina foronya nikavamiwa na kungun nikawa silali vizuri nikaamua...
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.
Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
Mwenye kujua hili atujuze maana kuna kipindi fulani nyumbani kwetu kulijaa sana kunguni ila tukawaua. Sasa hivi hawapo; hebu tuambieni kunguni wanatokea wapi au wanasababishwa na nini?
Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.