1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦♂️
2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri hununua mbegu zenu kwa hao malaya mnaowaita Dada poa. Maana unapomwaga wanawahi kukuvua condom na...
Poleni na changamoto za hapa na pale, wanajamii wenzangu.
Naomba kupewa mwongozo kwenye hili suala (ruksa kunifokea).
Ukiachana na changamoto nyingine, suala la ngono nalo linaongoza kuharibu akili na maisha kiujumla hasa kwa vijana wa kiume wa miaka 18-29. Huu sio utafiti rasmi ila naongelea...
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa.
Mzoga unapatikana kirahisi.
Fisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.